| I. WAKATI
WA JARIBIO NA SHINDANO LA BARABARA Rekodi ya Kitaifa: Progue-Bratishere Progue, maili 550/Kilomita 850 (Kujengwa barabara zenye vinjia), masaa 54, dakika 30 (Ocktoba 11-12, 2004) Rekodi ya Kitaifa: Mbio za mzunguko Uispania, Tarifa mpaka San Sebastian, maili 744/ Kilomita 1200, masaa 55, dakika 10 (Novemba 4-5, 2002) Rekodi ya Kitaifa: Mbio za mzunguko Uispania, Tarifa mpaka San Sebastian, maili 775/ Kilomita 1250, masaa 59, dakika 23 (Julai 18-19, 2002) Nafasi ya tatu: Nchi ya Cochise uendeshaji baiskeli daraja la kipekee, maili 252/kilomita 408 (shidano la barabara iliyo ndefu katika Muungano wa Mataifa "United States") (Oktoba 1998) Rekodi ya Kitaifa: Mbio za mzunguko Califonia, Mashariki hadi Magharibi, maili 248/ Kilomita 1250, masaa 12, dakika 57 (Mei 1996) Rekodi ya Mrekani: Masaa 12 barabarani maili 264,7/kilomita (Mei 1995) Bingwa mtetezi: Nchi ya Cochise uendeshaji baiskeli daraja la kipekee, maili 252. Kilomita 408 (Oktoba 1994) Rekodi ya Kitaifa: San Francisco mpaka Los Angeles, California maili 402/Kilomita 646.82, masaa 21, dakika 12 (Mei 1994) Rekodi ya Kitaifa: Mbio za mzuguko Marekani, maili 3000/Kilomita 4860, Kutoka Los Angeles mpaka New York siku8, masaa 8, dakika 45 (Agosti 1989) Bingwa: John Marino Open, maili 552/kilomita 894, kufunzu katika mbio za mzunguko Marekani, kutoka Tucson, Arizonampaka Flagstaff, Arizona na kurudi (April 1987)
|